PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MWENYEKITI WA MTAA KUPITIA {CHADEMA} MBEYA AFUNGWA MIAKA 7 KWA KUJERUHI KILABUNI!!!!!!!!!!!!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mwenyekiti wa CHADEMA Ezekiel King mwenye shati la kijani akiteta jambo na jamaa zake mara baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka 7...


Mwenyekiti wa CHADEMA Ezekiel King mwenye shati la kijani akiteta jambo na jamaa zake mara baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka 7 kwa kosa la kumjeruhi mtu kilabuni

Askari polisi wakimsindikiza Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 7 jela

Mmoja wa jamaa waliohudhuria mahakamani akimwaga machozi baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA mtaa wa Itiji kuhukumiwa kifungo  cha miaka 7 kwa kujeruhi






.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top