Na: mwandishi wetu, Karatu
Paroko wa Kanisa la Katoliki Parokia ya Karatu, mkoa Arusha Pamphili Nada ameuawa Leo Alfajiri kwa kupigwa kitu kizito na mtu mwenye matatizo ya akili aliyejulikana kwa jina la Romani Leonard aliyeingia Kanisani akilazimisha kusali hata hivyo baada ya kufanya mauwaji walijitokeza wananchi wenye hasira na yeye kumuuwa.
Kamanda wa polisi mkoa Arusha Justine Masejo amethibitisha kutokea mauwaji hayo .
Post a Comment