PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Breaking News Padre auawa na Kichaa ofisini kwake
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na: mwandishi wetu, Karatu Paroko wa Kanisa la Katoliki Parokia ya Karatu, mkoa Arusha  Pamphili Nada ameuawa Leo Alfajiri  kwa kupigwa kitu...


Na: mwandishi wetu, Karatu

Paroko wa Kanisa la Katoliki Parokia ya Karatu, mkoa Arusha  Pamphili Nada ameuawa Leo Alfajiri  kwa kupigwa kitu kizito na  mtu mwenye matatizo ya akili aliyejulikana kwa jina la Romani Leonard aliyeingia Kanisani akilazimisha kusali  hata hivyo baada ya kufanya mauwaji walijitokeza wananchi wenye hasira na yeye kumuuwa.

Kamanda wa polisi mkoa Arusha Justine Masejo amethibitisha kutokea mauwaji hayo .

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top