Mwenyekiti wa halamashauri wilaya ya Monduli Isack Copriano akizindua mradi wa uendeshaji na uzalishaji wa nyanda ya malisho wilaya ya Monduli unaotekelezwa na CORDSKatibu tawala wilaya ya Monduli aki…
SHIMIWI Yafanya Mapitio ya Katiba yake Kuboresha Utendaji Kazi
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) limefanya Mkutano Mkuu Maalum na kufanya mapitio ya Katiba yake pamoja na tathimini ya mashindano ya Shirikis…
MAIPAC KUSAIDIWA NA FREEDOM HOUSE KUTATUA CHANGAMOTO ZA JAMII ZA PEMBEZONI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Meneja miradi wa MAIPAC Deborah Makando akifafanua jambo kwa mtendaji mkuu wa Freedom houseMtendaji mkuu wa Freedom House wakili Daniel Lema akizungumza na Meneja utawala Andrea Ngobole ofisini kwak…
SHIRIKA LA MSAADA LA WATU WA MAREKANI (USAID) KUONGEZA UHUSIANO NA WANAHABARI NCHINI, KESHO KUTEMBELA MAIPAC
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni maafisa wakuu wa mfuko wa msaada wa Maendeleo wa Marekani (USAID) wakiwa na viongozi wa klabu ya waandishi wa habari Arusha mara baada ya kumaliza kikao kazi Na Mwandishi wetu, ArushaMAAFI…
WAANDISHI WA HABARI WAENDELEA KUNG’ARA KATIKA UTEUZI WA WAKUU WA WILAYA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mtangazaji wa TBC Grace Henry Kingalame aliyeteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Nyang’halwe mkoani Geita NA: ANDREA NGOBOLE, PMTJana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassa…
TCRA YAWAPA MAIPAC LESENI YA KUTOA HABARI MTANDAONI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la wanahabari la usaidizi wa jamii za pembezoni ( MAIPAC ) Mussa Juma Kushoto akipokea Leseni ya uendeshaji wa habari za mitandaoni MAIPAC MEDIA TANZANIA Blog kutoka k…
HATI MILKI ZA ARDHI MILIONI MOJA KUTOLEWA KUPITIA MRADI WA LTIP
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mratibu wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) Joseph Shewiyo akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mradi wa LTIP kwa wabunge tarehe 21 Januari 2023 jijini DodomaWabunge wakiwa kwe…
CCM ARUSHA WAPINGA UPOTOSHWAJI ULIOTOLEWA MITANDAONI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimewataka wanachama wa chama hicho kupuuza taarifa za upotoshaji zilizotolewa na moja ya mitandao ya kijamii hapa nchini kuwa kimemnyima ofisi mwenyekiti wa …
BANDARI YA NCHI KAVU KUJENGWA ARUSHA, KUNUFAISHA MIKOA YA KASKAZINI NA NCHI JIRANI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Meneja wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA) Masoud Mrisha akielezea mradi wa ujenzi wa bandari ya nchi kavu mkoani ArushaMwandishi wetu. Arusha. Bandari ya nchi Kavu inatarajiwa kujengwa katika eneo…