MANYARA FC MABINGWA MICHUANO YA CHEMCHEM CUP 2018 NA KUJINYAKULIA MILION 1.7
Mgeni rasmi akikabidhi zawadi wa jezi kwa mabingwa wa chemchem cup 2018 timu ya Manyara fc Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti akikagua timu ya Manyara fc kabla ya mchezo kuanza Baadhi ya mashab…