Diwani wa chadema ,Kata ya Kaloleni ,jijini Arusha ,Emanuel Kessy
amejivua wadhifa wake na kujiunga na ccm Kwa kile alichodai ni kumuunga
mkono rais John Magufuli
Kessy Ambaye Amekuwa akitajwa na chadema kuwa ni miongoni mwa madiwani
wenye mpango wa kukihama chama chao ,Jana machi 19 ,Ametangaza kuachia
ngazi usiku wa Manane baada ya mke wake kumtilia ngumu .
Kessy pia amejivua uanachana wa chadema na kutimkia ccm huku
taarifa zikieleza kwamba mke wake alikuwa ni kikwazo kuachia ngazi Kwa
mumewe hata hivyo baadaye ilifanikiwa kumrubuni na hatimaye ilipofika
majira ya usiku alilegea na kukubali mumewe aachie ngazi
Post a Comment