MAPEMA Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura alilalamika kubaniwa haki yake ya kukataa rufaa baada ya kupatikana na hatia na kufungiwa maisha kujihusisha na soka. Lak…
LIVERPOOL YAPANDA MPAKA NAFASI YA TATU EPL BAADA YA KUITWANGA PALACE 2-1, MANE NA SALAH KAMA KAWA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kikosi cha Liverpool kimeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Crystal Palace iliyokuwa Uwanja wake wa nyumbani, Selhurst Park, jioni hii. Palace ndiyo walikuwa wa kwanza kujipatia bao la kwanza kw…
CHEKI Lowasa Alivyotinga Mahakamani Kufuata Dhamana ya Mbowe na Viongozi Wengine wa Chadema
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wenzake watano wa chama hicho wamerejeshwa tena katika Mahakama ya Kisutu, Dar leo Machi 29, 2018 asubuhi il…
Licha ya Times FM Kuomba Radhi TCRA Yawakalia Kooni Yasema Kibano Kipo Palepale
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imesema licha ya kituo cha Redio Times kuomba radhi katika kipindi cha mahojiano kati yake na msanii Diamond, hatua ya kufika mbele ya kamati ya maudhui…
Hatima ya Dhamana ya Mbowe na Vigogo Watano wa Chadema Kujulikana Leo
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Hatima ya vigogo sita wa Chadema wakiongozwa na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kupata dhamana au kuendelea kusota gerezani itajulikana leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini…
DIAMOND PLATNUMZ ASALIMU AMRI AMPIGIA MAGOTI SHONZA, MWAKYEMBE ILI ASIFUNGIWE NYIMBO ZAKE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe leo Jumanne Machi 27, 2018 amekutana na mwanamuziki Nassib Abdul maarufu Diamond Platnumz, jijini Dar es Salaam Tarifa iliyotole…
MFUKO WA FIDIA NI MKOMBOZI WA WAFANYAKAZI NCHINI - WAZIRI MHAGAMA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2017/18 na…
RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AANDIKA HAYA BAADA YA KUHUDHURIA HARUSI YA MTOTO WA DANGOTE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
While in Nigeria, I joined my friend Aliko Dangote in Lagos to celebrate the wedding of his daughter Fatima Dangote. It was good to connect with many friends whom I have known and worked with over ye…
ABDUL NONDO AWASHUKURU WATANZANIA BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA LEO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) Abdul Nondo kwa mra ya kwanza amefunguka na kuwashukuru watanzania baada ya kuachiwa kwa dhamana katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Mkoa wa Iringa l…
KINANA AZINDUA SEMINA ELEKEZI KWA WAJUMBE WA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA MJINI DODOMA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza kabla ya Kumkaribisha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Ndg.Kheri Denis James (…
WIZARA YA MALIASILI YAZIJENGEA UELEWA KAMATI MBILI ZA BUNGE KUHUSU MRADI WA SECO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akihutubia wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge Ardhi, Maliasili na Utalii na Viwanda, Biashara na Mazingira wakati akifungua warsha ya siku moja…