Soko
la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja lililofunguliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
ikiwa ni Shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WANANCHI
wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia
wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Soko la Kisasa la Kinyasini Unguja
JENGO
Ljipya la Soko la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja lililofunguliwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, ikiwa ni Shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu, Bunge
Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama, alipowasili
katika viwanja vya kinyasini kwa ajili ya ufunguzi wa Soko Jipya la
Kisasa Mkoa wa Kaskazini Unguja
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Katibu Mkuu Waziri wa Kilimo Mifugo Maliasili na Uvuvi
Joseph Abdallah Meza,alipowasili katika viwanja vya kinyasini kwa ajili
ya ufunguzi wa Soko Jipya la Kisasa Mkoa wa Kaskazini Unguja
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akimsikiliza Mtoto Msikia Rajab Ali aliyeandaliwa kwa ajili ya hafla
hiyo ya uzinduzi wa Soko jipya la kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Soko Jipya la Kinyasini Mkoa wa
Kaskazini Unguja kulia Waziri wa Kilimo Mifungo Maliasili na Uvuvi Mhe.
Hamad Rashid Mohamed na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera
Uratibu Bunge Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu. Mhe. Jenista Mhagama
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akiondoa kipazia kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi la Soko Jipya la
Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akimsikiliza Mkandarasi wa Ujenzi wa Soko hilo Ali Mbarouk, akitowa
maelezo wakati wa uzinduzi wake kutembelea jengo hilo
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akitembelea Soko hilo baada ya kulifungua na akipata maelezo kutoka kwa
Waziri wa Kilimo Mfugo Maliasili na Uvuvi Zanzibar. Mhe. Hamad Rashid
Mohammed.
KATIBU
Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo Maliasini na Uvuvi Joseph Abdallah Meza
akitowa maelezo ya kitaalamu ya Ujenzi wa Soko Jipya la Kinyasini Mkoa
wa Kaskazini Unguja wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi kusherehekea miaka
54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu Bunge Kazi Ajira Vijana na
Wenye Ulemavu. Mhe. Jenista Mhagama akizungumza wakati wa hafla hiyo ya
Uzinduzi wa Soko katika Mkoa wa Kaskazini Unguja
WAZIRI
wa Kilimo Maliasi Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed
akizungumza wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa Soko la Kinyasini Mkoa
wa Kaskazini Unguja, kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar Dk. Shein,
kuzungumza na Wananchi.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu Bunge
Kai Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama, wakati wa hafla
hiyo.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamad
Rashid Mohammed wakati wa hafla hiyo.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kaskanizi Unguja wakati wa hafla ya
uzinduzi wa Soko Jipya la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja ikiwa ni
shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Picha na IKULU
Post a Comment