PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA: RADIO HABARI NJEMA WASHINDA KWA MARA YA NNE RUZUKU YA MILIONI MIA MOJA NA KUMI KUTOKA TMF
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
mhariri wa habari wa radio Habari njema Mbulu bwana Jeston Kihwelo akiwa na mtangazaji wa radio Manyara katika mafunzo ya uandishi wa haba...
mhariri wa habari wa radio Habari njema Mbulu bwana Jeston Kihwelo akiwa na mtangazaji wa radio Manyara katika mafunzo ya uandishi wa habari wa takwimu uliofanyika katika ukumbi wa whiterose hotel mjini Babati mkoani Manyara mapema jana

 Afisa wa mafunzo kutoka TMF bwana Dastan Kamanzi kushoto Akiwa na mhariri wa habari wa radio Habari NJjema bwana Jeston Kihwelo mara baada ya mafunzo na kukabidhiwa kwa ruzuku kwa radio Habari Njema na TMF

 Mkurugenzi wa TMF Bwana Sungura akitoa makataba wa makabidhiano ya ruzuku waliyoipa radio Habari njema Mbulu baada ya kuwa taasisi iliyojishindia ruzuku kutoka mfuko wa vyombo vya habari nchini.

Baadhi ya waandishi wakifuatilia moja ya mada iliyokuwa ikiwasilishwa na Bwana Danstan Kamanzi wa TMF kwa wnahabari wa mkoa wa Manyara na Arusha waliohudhuria mafunzo hayo na utiaji wa sign ruzuku iliyotolewa kwa radio habari njema iliyopo wilayani mbulu mkoani Manyara.

mhasibu mkuu wa jimbo katoliki la Mbulu ambao ni wamiliki wa radio habari njema Padre Antony Lagwen akielezea namna ambavyo ruzuku waipatayo toka TMF ilivyowasaidia kufikiamalengo ya radio hiyo


utiaji sign ukiendelea kati ya mkurugenzi wa TMF nchini Ernest Sungura na Mhasibu mkuu wa jimbo katoliki la Mbulu Padre Antony Lwegen

Makabidhiano ya makubaliano kati ya mkurugenzi wa TMF Ernest Sungura na msaidizi wa askofu jimbo katoliki la Mbulu Padre Urbano Sulle, na anayeshuhudia katikati ni mkuu wa wilaya ya Mbulu mheshimiwa Chelestino Simbalimile Mofuga ambaye alikuwa mgeni wa heshima katika tukio hilo

Mkuu wa wilaya ya Mbulu mheshimiwa Chelestino Simbalimile Mofuga katikati akimshukuru mkurugenzi wa TMF nchini Bwana Ernest Sungura mara baada ya utiaji wa sign wa makabidhiano ya ruzuku kwa radio habari njema na upande wa kulia ni msaidizi wa askofu jimbo katoliki la mbulu padre Urbano Sulle

Waaandishi na watangazaji wa radio Hbari Njema iliyopo Mbulu mkoani Manyara wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya makabidhiano ya mkataba wa ruzuku waliyoshinda inayofiki kiasi cha shilingi milioni mia moja na kumi.


Waandishi wa habari wa mikoa ya Manyara na Arusha  wakiwa katika picha ya pamoja na timu kutoka TMF na habari njema readio mara baada ya kupata mafunzo ya uandishi wa habari wa takwimu na utiwaji wa sign za makabidhiano ya ruzuku kwa radio habari njema toka mfuko wa vyombo vya habari nchini.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top