Home
»
»Unlabelled
» DR. BILALI KUWASHA MWENGE WA UHURU LEO BUKOBA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo,
Dkt. Fenella Mukangara, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa
mjini Bukoba kwa ajili ya kuwasha Mwenge wa Uhuru leo
katika hafla itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akivishwa Skafu na Vijana wa 'Scout' wa mkoa wa Kagera, baada ya
kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba jana jioni kwa ajili ya
kuwasha Mwenge wa Uhuru leo katika hafla itakayofanyika kwenye Uwanja
wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi, waliompokea kwenye uwanja wa
Ndege wa mjini Bukoba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Handeni Muhingo Rweyemamu, baada
ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba kwa ajili
ya kuwasha Mwenge wa Uhuru leo katika hafla itakayofanyika kwenye
Uwanja wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, mkewe Mama Zakhia Bilal, wakifurahia ngoma ya asili ya kabila ya
Wahaya baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba kwa ajili ya kuwasha Mwenge wa Uhuru leo katika hafla
itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Mstaafu, Fabian Masawe, akisoma Taarifa ya Mkoa mbele ya Makamu wa Rais Dkt. Bilal.
About Author

Advertisement

Recent Posts
- The Maasai Families in Longido District allegedly use baptism ceremonies to conceal FGM practices17 Sep 20240
By our Reporter in Longido Some Maasai families in Longido District, Arusha Region ar...Read more »
- Tanzanian Shillings 6.56 Trillion Investment in the JNHPP Project Bears Fruits for the Nation14 Sep 20240
By Our ReporterThe Public Investments Committee (PIC) of Parliament visited the construction site of...Read more »
- 35 teams set to battle in Chem Chem Cup 2024: Sh78 million up for grabs10 Sep 20240
By Mussa Juma, MaipacBabati. A total of 35 teams will participate in the 2024 Chem Chem Cup, costin...Read more »
- Mwiba holdings Donates house for Health Workers and 194 bicycles to Meatu students.29 Aug 20240
By Our Staff Writer in MeatuMwiba Holdings Ltd, a tourism and conservation investment company ...Read more »
- Mount Kilimanjaro porters' jobs in jeopardy due to foreign influence and controversial practices29 Aug 20240
KPAP's influence has shifted the tourism market, with foreign agents favoring their affiliates over ...Read more »
- Tanzania ramps up health education amid Mpox threat25 Aug 20240
By Staff WriterIn a bold move to safeguard Tanzania from the looming threat of Mpox, the Ministry o...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MWENGE NI UCHAWI WA NYERERE KWANI KWETU WATANZANIA HAUNA TIJA NA UNAMALIZA TUU FEDHA ZETU.
ReplyDeleteNI HERI FEHA HIZI ZIKAENDA MASHULENI NA KUSAIDIA DAWA NA VIFAA MAHOSIPITTALINI.
PIA YATIMA NA WATOTO WAMITANI KULIKO KUTEKETEA KWA KUFUKUZA MOTO NA KUCHOMA TAMBI.