PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA NDEGE ILIYOANGUKA LOBO AIRSTRIP NDANI YA HIFADHI YA SERENGETI NA KUJERUHI WATU WATATU
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Ajali ya ndege iliyotokea katika uwanja wa ndege wa lobo uliopo ndani ya hifadhi  ya serengeti ambapo inasemekana kulikuwa na mvua na vi...
Ajali ya ndege iliyotokea katika uwanja wa ndege wa lobo uliopo ndani ya hifadhi  ya serengeti ambapo inasemekana kulikuwa na mvua na visibolity haikuwa nzuri. wakati rubani anajaribu kutua akajikuta ameshafika katikati ya uwanja akaona hataweza kusimama kabla ya kuumaliza.aliteleza na kugonga mti na mawe. hakuna vifo ila rubani na abiria wawili wamechukuliwa na flying doctors na kupelekwa Nairobi kwa matibabu zaidi.

Ajali ya ndege iliyotokea katika uwanja wa ndege wa lobo uliopo ndani ya hifadhi  ya serengeti ambapo inasemekana kulikuwa na mvua na visibility haikuwa nzuri. wakati rubani anajaribu kutua akajikuta ameshafika katikati ya uwanja akaona hataweza kusimama kabla ya kuumaliza.aliteleza na kugonga mti na mawe. hakuna vifo ila rubani na abiria wawili wamechukuliwa na flying doctors na kupelekwa Nairobi kwa matibabu zaidi.

ndege hiyo ikiwa imegonga mti karibu na kiwanja hicho cha ndege

PICHA mbalimbali zikiionesha ajali ya ndege iliyotokea katika uwanja wa ndege wa lobo uliopo ndani ya hifadhi  ya serengeti ambapo inasemekana kulikuwa na mvua na visibolity haikuwa nzuri. wakati rubani anajaribu kutua akajikuta ameshafika katikati ya uwanja akaona hataweza kusimama kabla ya kuumaliza.aliteleza na kugonga mti na mawe. hakuna vifo ila rubani na abiria wawili wamechukuliwa na flying doctors na kupelekwa Nairobi kwa matibabu zaidi.

It has been reported in this afternoon that  a Coastal Aviation, A Cessna grand caravan with 11 passengers and one pilot had an accident near LOBO airstrip in the Serengeti national park.

in the accident Two of the passengers and the pilot received injuries and have been promptly transferred to the most appropriate medical facilities for treatment, assisted by the coastal staff.

"Our managing Director Julian Edmunds, flew to Nairobi together with them and the reports that according to the physician none of the injuries appear to be serious" the statement issued by the firm said.
we wish them quick recovering.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top