PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: POLISI KILIMANJARO YANASA SILAHA,DAWA ZA KULEVYA NA VIROBA VILIVYOPIGWA MARUFUKU
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandaizi wa Jeshi la Polisi ,Wilbroad Mutafngwa akionyesha silaha zilizoma...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandaizi wa Jeshi la Polisi ,Wilbroad Mutafngwa akionyesha silaha zilizomakamatwa pamoja na Dawa za Kulevya aina ya Mirungi na Bhangi.
Misokoto ya Bhangi iliyokamatwa.
Dawa za kulevya aina ya Mirungi iliyokamatwa.
Silaha aina ya Bastola zilizokamatwa na jeshi hilo.
Baadhi ya Waandishi wa habari wakifuatilia taarifa ya Kamanda wa Polisi,(hayupo pichani.)
Mfanyabiashara wa vinywaji kwa jumla ,Gerald Kimario akiwa amebeba boksi la Pombe iliyofungwa katika vifungashio vya Plastiki baada ya jeshi la Polisi kukuta bidhaa hizo katika ghala lake  la kuuzia bidhaa zake.
Mkaguzi wa Kanda ya Kaskazini wa Mamlaka ya Chakula na Dawa,William Mhifadhi akitizama Pombe iliyopigwa marufuku ikiwa katika vifungshio vya plastiki.
Sehemu ya Vifungashio vya Plastiki vya Pombe viivyoppigwa marufuku hivi karibuni.
Watuhumiwa wa matukio ya usafirishaji wa Dawa za kulevya pamoja na Unyang'anyi wakiwa mikononi mwa jeshi la Polisi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Wilbroad Mutfungwa akionesha gari lililokamatwa likiwa na mizigo ya Dawa za kulevya aina ya Milungi ,wahusika wakijaribu kuisafirisha.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top