Title: BREAKING: Rais Magufuli ateua Waziri mpya wa Habari, Sanaa Utamaduni na michezo
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5
Des:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Maguf...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli
amefanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri ambapo sehemu ya
mabadiliko hayo ni kumteua Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na
michezo… na taarifa kamili ndio hii hapa chini kutoka IKULU.
Post a Comment