
Diamond Platnum na mpenzi wake Zari, wanategemea kufanya sherehe ya kuadhimisha arobaini ya mtoto wao Prince Nillan Feb28 2017 Dar es salaam
ikiwa
ni baada ya kubadilisha na kuamua kufanyia Tanzania na sio South Africa
kama ambayo ilisemekana mwanzo. Zari alithibitisha hivyo kupitia
ukurasa wake wa Snapchat. Pia akawasihi watakaohudhuria kwenye shughuli
hiyo wasivae madera wala sare.
Post a Comment