Vijana
wasomi 53 wa grupu la Whatsapp la WAZALENDO wakikamilisha kufyatua
matofali 45,000 kwa ajili ya mabweni matano na nyumba tano za walimu
Shule ya Sekondari ya Nasibugani wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani, umbali
wa kilomita 151 kutoka Dar es salaam, na kilomita 53 kutoka makao makuu
ya Wilaya.
Leo
wamekutwa wakifanya kazi hiyo nzito huku wakihamasika kwa nyimbo
wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe. Filbert Sanga (wa pili
kulia). Vijana hao, 14 wakiwa wanawake na 39 wanaume, walikubaliana
kupiga kambi shuleni hapo toka Septemba 27, 2016 na kufanya kazi hiyo
ya kujitolea na bila malipo kwa moyo mmoja na kufanikiwa kufyatua
matofali hayo. Kambi hiyo inatarajiwa kufungwa kesho Jumamosi Oktoba 29,
2016 na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako
Mmoja wa vijana hao wasomi akielekea kazini
Sehemu ya vijana hao wasomi 53 wakichota maji ili kukamilisha kufyatua
matofali 45,000 kwa ajili ya mabweni matano na nyumba tano za walimu
Shule ya Sekondari ya Nasibugani wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani
Sehemu
ya vijana hao wasomi 53 wakichota maji ili kukamilisha kufyatua

hao wasomi 53 wakikamilisha kufyatua matofali 45,000 kwa ajili ya
mabweni matano na nyumba tano za walimu Shule ya Sekondari ya
Nasibugani wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani

Post a Comment