Title: MKURUGENZI IDARA YA MAAFA APOKEA MIFUKO 640 YA SARUJI KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA MAAFA KAGERA.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5
Des:
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen Mbazi Msuya (wa kwanza kushoto) akieleza jambo wakati alipotembelea ...
Mkurugenzi wa Idara ya
Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen Mbazi Msuya (wa kwanza kushoto)
akieleza jambo wakati alipotembelea ofisi za kampuni ya Kamal ili kupokea na kuangalia saruji zilizokabidhiwa
na ofisi hiyo kwa waathirika wa tetemeko la ardhi Kagera. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni
ya kutengeneza chuma ya Kamal ltd Bw. Gagan Gupta (wa kwanza kulia) akizungumza
jambo kwa baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu walipofika katika ofisi
hizo kuangalia msaada wa safuji mifuko 640 unaosafirishwa kwa waathirika wa
tetemeko la ardhi mkoani Kagera. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wafanyakazi wa
Kampuni ya kutengeneza chuma ya Kamal ltd wakiwa katika picha ya pamoja na
Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen Mbazi Msuya
mara baada ya kuangalia msaada wa saruji mifuko 640 uliotolewa na kampuni hiyo
tayari kwa kusafirisha mkoani Kagera. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkurugenzi Idara ya
Kuratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brigedia.Jen Mbazi Msuya (wa kwanza)
akisalimiana na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya kutengeneza chuma ya Kamal ltd
Bw. Gagan Gupta wakati wa uhakiki wa misaada ya saruji iliyotolewa na kampuni
hiyo kwaajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera tarehe 28
Oktoba, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment