PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA-MBUNGE WA SIMANJIRO JAMES OLE MILYA AHIMIZA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI EMBOREET KKUJITUMA ZAIDI MARA BAADA YA KUZINDUA MADARASA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya akishikana mikono na  Mwanamuziki wa nchini Marekani Kristie Cooter ishara ya  uzinduzi wa  madarasa...
Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya akishikana mikono na  Mwanamuziki wa nchini Marekani Kristie Cooter ishara ya  uzinduzi wa  madarasa manne katika shule hiyo yaliyojengwa kwa ufadhili wa shirika lisilokua la kiserikali la Wings of Kilimanjaro.Picha na Ferdinand Shayo

Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya akiteta jambo na Mwanamuziki wa nchini Marekani Kristie Cooter katika uzinduzi wa  madarasa manne katika shule hiyo yaliyojengwa kwa ufadhili wa shirika lisilokua la kiserikali la Wings of Kilimanjaro.Picha na Ferdinand Shayo

Mbunge wa Simanjiro James Ole Milya akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Emboreet mara baada ya kuzindua madarasa manne katika shule hiyo yaliyojengwa kwa ufadhili wa shirika lisilokua la kiserikali la Wings of Kilimanjaro.Picha na Ferdinand Shayo

About Author

Advertisement

Post a Comment

Top