PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: JE UNGEPENDA KUSOMA KOZI ZENYE FURSA ZA AJIRA........TUPASHANE HABARI COLLEGE MOSHI NDIO JIBU LAKO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
TUPASHANE HABARI COLLEGE MOSHI Uongozi wa chuo cha Tupashane habari college Moshi, unawatangazia nafasi za masomo kwa muhula mpya 1....
TUPASHANE HABARI COLLEGE MOSHI

Uongozi wa chuo cha Tupashane habari college Moshi, unawatangazia nafasi za masomo kwa muhula mpya 1.7. 2016 . Kwa ngazi ya certificate na diploma kwa kozi zifuatazo-;- 

-Uandishi wa habari na utangazaji wa Radio na tv kwa ngazi ya certificate kwa mwaka mmoja.
 

-Uandaaji wa vipindi vya Radio na tv ngazi ya certificete kwa mwaka mmoja.
 

-Uandishi wa habari,utangazaji na uandaaji wa vipindi vya Radio na tv kwa ngazi ya diploma kwa miaka miwili.
 

Chuo cha tupashane habari college pia kinatoa kozi kwa muda mfupi.
 
1
SECRETARY COURSE
 
SIX (6) MONTH
2
SALES AND MARKETING
 
SIX (6) MONTH
3
AIR TICKET
 
SIX (6) MONTH
4
INFORMATION TECHNOLOGY
 
SIX (6) MONTH
  

 
NO
COURSE
 
DURATION
1
RADIO AND TV PRODUCTION
 
THREE (3) MONTH
2
COMPUTER
 
THREE (3) MONTH
3
MC AND DJ
 
THREE (3) MONTH
4
ENTREPRENEURSHIP
 
THREE (3) MONTH
5
LANGUAGE
 
THREE (3) MONTH
6
HAIR DRESSING
 
THREE (3) MONTH



-Chuo kinamazingira mazuri na pia kina studio za kisasa za Radio na tv kwa ajili ya kujifunzia,Chuo ni cha kutwa na bweni,Chuo kitalipa gharama ya asilimia tano ya ada kwa wanafunzi wa mwanzo watakao jiunga na chuo. 

- Na kwa mwanafunzi anapo hitimu hutafutiwa na chuo magazet,radio,tv na mashirika mbalimbali katika nchi za jumuiya za afrika mashariki kwa ajili ya kufanya mazoezi kwa vitendo.
 


-Chuo cha Tupashane Habari college kipo Moshi mjini,mbuyuni Manyema mkabala na zahanati ya bondeni,usisite kuwasiliana nasi kwa namba 0772 044 916,0659 299 837,+255628245169 na 0756 483 174,Kwa barua pepe;  


tupashanehabari@gmail.com waweza kuperuzi www.tupashanehabari.blogspot.com 

P.o.box 453 

Moshi. Tanzania.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top