Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo kuanzia jana. Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa ikimnukuu Katibu Mkuu Kiongozi, …
CHADEMA Watafakari Hatua za Kuchukua Baada ya Rais Magufuli Kutaka Siasa Zifanywe 2020 ( wakati wa Uchaguzi Mkuu ujao )
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani kimesema kinatafakari hatua gani ya kuchukua baada ya Rais John Magufuli kutaka siasa za nguvu zifanywe wakati wa Uchaguzi Mkuu ujao, kau…
Mavoko: Nitakipiga Brush Kimombo Changu, Sitaki Kuumbuka Kama ilivyonitokea London
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kiingereza ni lugha inayotupa tabu Watanzania wengi na hakuna anayebisha kuwa kimekuwa kikitukosesha fursa nyingi za kimataifa au kujikuta tukiumbuka. Rich Mavoko ni mmoja wao na amesema atalazimik…
Maskini Baba Diamond Platnumz, Azidiwa Ghafla!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Maskini wee! Baba wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Juma ‘Baba D’ anaumwa sana! Ndivyo Risasi Mchanganyiko linavyoweza kukuhabarisha baada ya mzazi huyo kuzidiwa ghafla…
MAKALA YA UCHUMI: KIPAJI CHAKO NI ZAIDI YA FEDHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na Ferdinand Shayo,Arusha. Watu wengi duniani wametajirika kutokana na vipaji walivyonavyo wakiwemo Wanamuziki,Waigizaji,Wachoraji ,Wabunifu ,Wagunduzi na Wavumbuzi wa mambo mbalimbali. Watu waliogu…
BENKI YA CRDB YAHIMIZA MICHEZO KWA WATOTO NCHINI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Watoto wakishandana kukimbia na yai katika siku ya mtoto wa Africa iliyoandaliwa na bank ya CRDB tawi la Usa River wilaya ya Arumeru mkoania Arusha katika viwanja vya usa river academy. Meneja wa ban…
Msanii Diamond Atoa Msaada Wa Madawati 600 Kwa Mkuu Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam Mhe. Makonda
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akimpongeza Mkurugenzi wa WCB, msanii Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz' mara baada ya kumtembelea ofisini kwake na kutoa mchango wake wa madawati yap…
Faiza Ally: Sipo tayari kurudiana na ‘Sugu’ ila akihitaji mtoto mwingine nipo tayari ‘kumpatia’
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Muigizaji na mrembo Bongo, Faiza Ally amesema hayupo tayari kurudiana kimapenzi na baba watoto wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya mjini Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, ila yupo tayari kuzaa nae mtoto wa pili. …
Lowassa Awatakia Waislam Mfungo Mwema wa Mwezi wa Ramadhani
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri Mkuu wa Mstaafu ambaye pia alikuwa mgombea urais kwa Tiketi ya Chadema ameibuka na kuwatakia mfungo mwema waislam wote nchini. Kupitia ukurasa wake wa facebook. Lowassa ameandika; "Waumini…
Diamond: Nadhani Wema Sepetu ameanza kunikubali kimya kimya
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Akiwa kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Diamond Platnuzm amesema kitendo alichofanya Wema kupost kazi zake anadhani Wema Sepetu ameanza kumkubali kimya kimya na ameona labda hakuna sab…
WAFANYAKAZI WA SERENGETI WAFANYA USAFI NA KUCHANGIA DAMU HOSPITALI YA TEMEKE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wafanyakazi wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) wakifanya usafi katika mazingira ya Hospital ya Temeke mwishoni wa wiki iliyopita katika maadhimisho ya shamrashamra za kilele cha wiki ya usalama na…
USAILI WA MAISHA PLUS MTWARA WANOGA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Ni asubuhi tulivu katika fukwe za bahari ya hindi kusini mwa Tanzania ambapo vijana wengi wamejitokeza kufanya usaili wa mashindano ya Maisha Plus East Africa 2016. Wapo wanaoonekana kujiamini na wen…
MALINZI KUKUTANA NA UONGOZI WA YANGA LEO HII
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
v\:* {behavior:url(#default#VML);} o\:* {behavior:url(#default#VML);} w\:* {behavior:url(#default#VML);} .shape {behavior:url(#default#VML);} Normal 0 false false false…