Mwenyekiti
wa Chama cha NCCR-Mageuzi taifa na Mbunge wa jimbo la Vunjo,James
Mbatia akichokoza mada wakati wa kongamano la Elimu juu ya maafa katika
jimbo hilo baada ya kukumbwa na mafuriko ,Kongamano lililofanyika katika
shule maalum ya Viziwi na kuwashirikisha wenyeviti wa mitaa,Vijiji na
Vitongoji,Maofisa watendaji,Madiwani,wakuu wa idara mbalimbali katika
jimbo hilo.
Baaadhi ya washiriki wa kongamano hilo.
Mkuu
wa Wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akichangia mada katika kongamano
hilo ambalo alikuwa mgeni rasmi pia,kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo
,James Mbatia na kulia Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya
Moshi,Michael Kilawila.
Mwenyekiti
wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Michael Kilawila akichangia mada
katika kongamano hilo lililotumika pia kuondoa itikadi za kisiasa huku
akitoa wito kwa viongozi wote katika jimbo hilo kufanya kazi za
maenedeleo bila ya kujali itikadi za kisiasa.
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akichangia mada
katika kongamano hilo lililoandaliwa na Mbunge wa jimbo la Vunjo,James
Mbatia akielea namna ambavyo Wilaya hiyo ilivyopata athari kutokana na
mvua zilizonyesha Aprily 24 na 25 mwaka huu.
Mwenyekiti wa mji mdogo wa Himbo ,Hussein Jamal akichangia mada katika kongamano hilo.
Mkuu
wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga,(kushoto) Mkurugenzi wa Halmashauri
ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji (katikati) na Mwenyekiti wa
Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Michael Kilawila wakiteta jambo wakati
kongamano hilo.
Baadhi wa wachangiaji katika kongamano hilo wakitoa michango yao.
Mbunge Mbatia akiteta jambo na Mkuu wa wilaya ya Moshi ,Novatus Makunga.
Washiriki
wa kongamano hilo wakiwa wamejigawa kulingana na kata wanazotoka ambazo
zinafikia 16 katika jimbo la Vunjo wakijadili maafa yaliyozikumba kata
hizo na namna ya kukabiliana nayo kabla ya mkutano huo kutoa maazimio.
Post a Comment