PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Tamko la ACT Wazalendo Baada ya Wabunge wa Upinzani Kufungiwa
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge kuwatia hatiani wabunge saba kwa makosa mbalimbali ikiwemo kudhara...
Tamko la ACT Wazalendo Baada ya Wabunge wa Upinzani Kufungiwa
Tamko la ACT Wazalendo Baada ya Wabunge wa Upinzani Kufungiwa

Baada ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge kuwatia hatiani wabunge saba kwa makosa mbalimbali ikiwemo kudharau madaraka ya bunge ambapo wabunge Easther Bulaya na Tundu Lissu wameadhibiwa…

Read more »
31 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Mke wa Trafiki Kinyogori Adaiwa Kukiri Kumuua Mumewe
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
MKE wa askari polisi wa kikosi cha usalama barabarani (trafiki), Sajenti Ally Salum (Kinyogori) aliyeuawa hivi karibuni, ...
Mke wa Trafiki Kinyogori Adaiwa Kukiri Kumuua Mumewe
Mke wa Trafiki Kinyogori Adaiwa Kukiri Kumuua Mumewe

MKE wa askari polisi wa kikosi cha usalama barabarani (trafiki), Sajenti Ally Salum (Kinyogori) aliyeuawa hivi karibuni, inadaiwa amekiri kuhusika kwenye mauaji hayo, akidai ilitokana na mumewe kum…

Read more »
31 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) Profesa Tunus Mgaya Aliyesimamishwa Kazi na Waziri wa Elimu Afunguka Mambo Mazito
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
ALIYEKUWA Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Profesa Tunus Mgaya amesema amesikitishwa na taarifa zilizoandikwa ka...
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) Profesa Tunus Mgaya Aliyesimamishwa Kazi na Waziri wa Elimu Afunguka Mambo Mazito
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) Profesa Tunus Mgaya Aliyesimamishwa Kazi na Waziri wa Elimu Afunguka Mambo Mazito

ALIYEKUWA Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Profesa Tunus Mgaya amesema amesikitishwa na taarifa zilizoandikwa katika vyombo vya habari za kukosoa maamuzi ya serikali ya kuwasimamisha ka…

Read more »
31 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Kudai Bunge lilirushwe live Lawaponza Zitto, Lissu, Mdee na Bulaya
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wabunge wa upinzani, Tundu Lissu na Esther Bulaya wamesimamishwa kutoshiriki shughuli za bunge kwa mikutano miwili ya bunge ...
Kudai Bunge lilirushwe live Lawaponza Zitto, Lissu, Mdee na Bulaya
Kudai Bunge lilirushwe live Lawaponza Zitto, Lissu, Mdee na Bulaya

Wabunge wa upinzani, Tundu Lissu na Esther Bulaya wamesimamishwa kutoshiriki shughuli za bunge kwa mikutano miwili ya bunge hilo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na kung’ang’ania kurushw…

Read more »
31 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Maalim Sief Matatani Tena, Atakiwa Kurepoti Polisin Kwa Mahojiano
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya Jeshi la Polisi Zanzibar kuahirisha kumhoji Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, hat...
Maalim Sief Matatani Tena, Atakiwa Kurepoti Polisin Kwa Mahojiano
Maalim Sief Matatani Tena, Atakiwa Kurepoti Polisin Kwa Mahojiano

Baada ya Jeshi la Polisi Zanzibar kuahirisha kumhoji Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, hatimaye hatua hiyo sasa imeelekea kutekelezwa. Taarifa rasmi ya jeshi hilo v…

Read more »
31 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HATIMAYE NGORONGORO WAIBUKA MABINGWA WA UTANGAZAJI NDANI YA AJTC
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Hatimaye   darasa la Ngorongoro limeibuka kidedea katika mashindano  ya utangazaji  katika chuo cha uandishi habari na utangazaji Arus...
HATIMAYE NGORONGORO WAIBUKA MABINGWA WA UTANGAZAJI NDANI YA AJTC

Hatimaye   darasa la Ngorongoro limeibuka kidedea katika mashindano  ya utangazaji  katika chuo cha uandishi habari na utangazaji Arusha mashindano yaliyochukua  takribani siku tano. Darasa hilo baad…

Read more »
30 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Wema aweka wazi kuhusu mimba, alivyojigundua mpaka ilivyoharibika ‘nikaona donge la damu likidondoka’
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mashabiki wa malkia wa filamu, Wema Sepetu pamoja na wadau wa burudani walikuwa bado wanamaswali mengi kuhusu mimba ya W...
Wema aweka wazi kuhusu mimba, alivyojigundua mpaka ilivyoharibika ‘nikaona donge la damu likidondoka’
Wema aweka wazi kuhusu mimba, alivyojigundua mpaka ilivyoharibika ‘nikaona donge la damu likidondoka’

Mashabiki wa malkia wa filamu, Wema Sepetu pamoja na wadau wa burudani walikuwa bado wanamaswali mengi kuhusu mimba ya Wema Sepetu huku wengine wakihisi labda zilikuwa ni kiki, lakini Jumamosi hii …

Read more »
30 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Wema Sepetu Achukua Pointi Tatu Kwa Kumuombea Kura za BET Awards Diamond
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Inaonekana somo la uzalendo limewaingia vyema mastaa wetu licha ya tofauti zao. Baada ya hivi karibuni Alikiba kuwaomba ...
Wema Sepetu Achukua Pointi Tatu Kwa Kumuombea Kura za BET Awards Diamond
Wema Sepetu Achukua Pointi Tatu Kwa Kumuombea Kura za BET Awards Diamond

Inaonekana somo la uzalendo limewaingia vyema mastaa wetu licha ya tofauti zao. Baada ya hivi karibuni Alikiba kuwaomba watanzania wampigie kura Diamond anayewania tuzo za BET, Wema Sepetu naye ame…

Read more »
30 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye Akerwa na Ving'ang'anizi wa Madaraka
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye amezitaka nchi za Afrika kuhakikisha zinakubali kubadilishana madaraka pale chama k...
Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye Akerwa na Ving'ang'anizi wa Madaraka
Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye Akerwa na Ving'ang'anizi wa Madaraka

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye amezitaka nchi za Afrika kuhakikisha zinakubali kubadilishana madaraka pale chama kimoja kinaposhindwa kuongoza ili kuepusha nchi kuingia kwenye machafuko. Aidh…

Read more »
30 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: KITUO CHA MIKUTANO CHA AICC CHAKABIDHI MADAWATI 100
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Daudi Ntibenda (kushoto) akipokea madawati kutoka kwa Afisa Mwandamizi wa Itifaki na Uhusiano wa Kitu...
KITUO CHA MIKUTANO CHA AICC CHAKABIDHI MADAWATI 100

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Daudi Ntibenda (kushoto) akipokea madawati kutoka kwa Afisa Mwandamizi wa Itifaki na Uhusiano wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Catherine Kilinda. AICC ime…

Read more »
30 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: JUKUMU LA KUWAINUA WATOTO WA KIKE NI LA KILA MMOJA - EMMA ORIYO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Meneja Uhusiano wa Mambo ya Nje wa TBL Group,Emma Oriyo,akiongea na baadhi ya  wazazi wa watoto wanaosoma katika shule mbalimb...
JUKUMU LA KUWAINUA WATOTO WA KIKE NI LA KILA MMOJA - EMMA ORIYO

Meneja Uhusiano wa Mambo ya Nje wa TBL Group,Emma Oriyo,akiongea na baadhi ya  wazazi wa watoto wanaosoma katika shule mbalimbali waliofika kwenye  viwanja vya TTCL Kijitonyama  jijini Dar es Salaam,…

Read more »
30 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: PSPF Yatowa Elimu kwa Wastaafu wa Jamuhuri ya Muungano Zanzibar Kujiunga na Mfuko wa Mpango wa Uchangiaji kwa Hiari wa PSPF.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Mwanachama wa Jumuiya ya Waastafu wa Muungano akisoma risala kwa Wajumbe wa Mfuko huo wakati wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo uliof...
PSPF Yatowa Elimu kwa Wastaafu wa Jamuhuri ya Muungano Zanzibar Kujiunga na Mfuko wa Mpango wa Uchangiaji kwa Hiari wa PSPF.

  Mwanachama wa Jumuiya ya Waastafu wa Muungano akisoma risala kwa Wajumbe wa Mfuko huo wakati wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Jengo la Sanaa Rahaleo chini ya Ufadhili wa…

Read more »
23 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Zitto Kabwe, Halima Mdee na John Heche Wawekwa Kitimoto, Wahojiwa Kwa Dadkia 90 Kwa Kufanya Fujo Bungeni
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
MBUNGE wa Kigoma Mjini, Kabwe Zitto (ACT-Wazalendo) na wenzake wawili, jana wamehojiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya...
Zitto Kabwe, Halima Mdee na John Heche Wawekwa Kitimoto, Wahojiwa Kwa Dadkia 90 Kwa Kufanya Fujo Bungeni
Zitto Kabwe, Halima Mdee na John Heche Wawekwa Kitimoto, Wahojiwa Kwa Dadkia 90 Kwa Kufanya Fujo Bungeni

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Kabwe Zitto (ACT-Wazalendo) na wenzake wawili, jana wamehojiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge, George Mkuchika kwa kufanya fuj…

Read more »
19 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Mbunge wa CCM Anusurika Kupigwa na Wabunge wa UKAWA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Jackline Msongozi juzi jioni alinusurika kipigo kutoka kwa wabunge wanawake wa UKAWA baada ya ...
Mbunge wa CCM Anusurika Kupigwa na Wabunge wa UKAWA
Mbunge wa CCM Anusurika Kupigwa na Wabunge wa UKAWA

Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Jackline Msongozi juzi jioni alinusurika kipigo kutoka kwa wabunge wanawake wa UKAWA baada ya kuwaeleza kuwa upande huo una wabunge wawili tu wenye michango ya maana a…

Read more »
19 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Sakata la Lugumi: CHADEMA Yajipanga Kumng'oa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema uzito wa Rais John Magufuli kumwajibisha Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles K...
Sakata la Lugumi: CHADEMA Yajipanga Kumng'oa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Sakata la Lugumi: CHADEMA Yajipanga Kumng'oa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema uzito wa Rais John Magufuli kumwajibisha Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga kutokana na kutajwa kuhusika na Kampuni ya Lugumi inayoda…

Read more »
19 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Lowassa na Sumaye Watajwa Katika Sakata la Uuzwaji wa Nyumba za Serikali.......Mbowe Atoa Ufafanuzi
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Uuzwaji wa nyumba za serikali umegeuka mwiba huku wabunge wakiendelea kuhoji hatua zilizochukuliwa kutokana na kadhia hiyo Hatua hiyo i...
Lowassa na  Sumaye Watajwa Katika Sakata la Uuzwaji wa Nyumba za Serikali.......Mbowe Atoa Ufafanuzi
Lowassa na Sumaye Watajwa Katika Sakata la Uuzwaji wa Nyumba za Serikali.......Mbowe Atoa Ufafanuzi

Uuzwaji wa nyumba za serikali umegeuka mwiba huku wabunge wakiendelea kuhoji hatua zilizochukuliwa kutokana na kadhia hiyo Hatua hiyo iliyotekelezwa mwaka 2002  hadi 2004 ilizusha malalamiko mengi ta…

Read more »
19 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Rais Magufuli Atishia Kuwatumbua JIPU Mawaziri Wawili......Wenzao Wabaki Vinywa Wazi Kikaoni
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Operesheni ya kutumbua majipu ya Rais John Magufuli nusura iwaangukie Mawaziri wawili ambao  pia walikuwa  manaibu  mawaziri katika Seri...
Rais Magufuli Atishia Kuwatumbua JIPU Mawaziri Wawili......Wenzao Wabaki Vinywa Wazi Kikaoni
Rais Magufuli Atishia Kuwatumbua JIPU Mawaziri Wawili......Wenzao Wabaki Vinywa Wazi Kikaoni

Operesheni ya kutumbua majipu ya Rais John Magufuli nusura iwaangukie Mawaziri wawili ambao  pia walikuwa  manaibu  mawaziri katika Serikali ya Awamu ya Nne. Taarifa kutoka katika chanzo cha kuamin…

Read more »
18 May 2016

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Wosia wa Le Mutuz kwa Wanaowaza Kwenda Kuishi nje ya Nchi..
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Leo i want to touch this very sensitive subject ya wanaodai kuwa inapokuja kwenye diaspora huenda nina wivu na chuki na wanaoishi majuu...
Wosia wa Le Mutuz kwa Wanaowaza Kwenda Kuishi nje ya Nchi..
Wosia wa Le Mutuz kwa Wanaowaza Kwenda Kuishi nje ya Nchi..

Leo i want to touch this very sensitive subject ya wanaodai kuwa inapokuja kwenye diaspora huenda nina wivu na chuki na wanaoishi majuu kwa sababu nilirudi, ha! ha! ha! kwa wale ambao hamjafika maj…

Read more »
18 May 2016
 
Top