PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akikabidhi gari la wagonjwa kwa n...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akikabidhi gari la wagonjwa kwa niaba ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Bw. Hassan Bendeye katika Ofisi ya Waziri Mkuu tarehe 1 Aprili, 2016.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akibonyeza kitufe cha gari la wagonjwa baada ya kulikabidhi kwa Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Bw. Hassan Bendeye kwa ajili ya kutoa  huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma tarehe 1 Aprili, 2016.

Muonekano wa Gari la Wagonjwa lililokabidhiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) kabla ya kukabidhi kwa Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Bw. Hassan Bendeye katika Ofisi ya Waziri Mkuu Aprili 1, 201

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akikagua vifaa muhimu ndani ya gari la Wagonjwa. Kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Bw. Hassan Bendeye katika ofisi ya Waziri Mkuu  tarehe 1 Aprili, 2016.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top