PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Picha ya Wema Sepetu na Mkongo Man Yazua Balaaa Mtandaoni...Tetesi za Idriss Sultan Kutemwa zaibuka...
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mpya mjini hapa leo ni habari ya Mkongo ajulikanae kama Apocalypse na Wema Sepetu, Wawili hawa inasemekana wako pamoja kimap...


Mpya mjini hapa leo ni habari ya Mkongo ajulikanae kama Apocalypse na Wema Sepetu, Wawili hawa inasemekana wako pamoja kimapenzi kiasi cha kupiga picha na video na kuziweka mitandaoni huko Instagram na Snapchat...Tetesi hizi zinasema kwa sasa Idriss Sultan hana chake baada ya mimba kutoka, mkongo huyo inasemekana ana mavumba ya kutosha na alishawahi kutoka na mrembo Huddah Monroe wa Kenya.....

Toka habari za mimba kutoka Idriss Sultan ama Wema Sepetu hawajawahi kuweka picha zao kwenye page ya Instagram kama walivyokuwa wanafanya zamani kitu ambacho kinaongeza tetesi za kuachana kwao....Leo Idris amempost demu mwingine ambani ni rafiki yake kwa kile kinachoonyesha kama kupoza machungu ya Wema na Mkongo kupost ma video yao.....

Huyu Ndio Mukongo Anayesemekana kuwa yupo na Wema Sepetu Kwa Sasa, Hapo akiwa katika Hotel ya Hyatt Regency baada ya kuwasili jana...

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top