PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Diva Loveness Adai Ujumbe wa Kutafuta Mwanaume Aliouandika Kwenye Page yake Alimaanisha..."Hamna Hacker wala Hucker , Hellow It's Me"
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Leo Mchana Diva Loveness wa Clouds fm aliacha mashabiki wake kwenye sintofahamu baada ya kupost picha akiwa nusu utupu na kusema kuw...



Leo Mchana Diva Loveness wa Clouds fm aliacha mashabiki wake kwenye sintofahamu baada ya kupost picha akiwa nusu utupu na kusema kuwa anatafuta mwanaume baada ya kukaa muda mrefu single.....baadhi ya mashabiki wake waliingiwa na woga wakidhani account yake imekuwa hacked lakini jioni hii Diva amewahakikishia hakuna cha hacker wala nini....

Divathebawse :
Hamner Hacker wala Hucker , Hellow It's Me ... Diva Ndio Naandika ... Cha ajabu nini? Simu yangu Ninayo Mkonon nimelala kitandani , So this is Me...Siku Hazilingan, kila mtu atafsiri atakavyo , i don care , This is Just life , we live , we gon die anyways .. tunakuwa dissapointed .. sometimes , Yaan mie mwenyewe ndio nafanya hivi and sitak kiki wala nini kick ninazo kibao .... Mpaka zanishinda ati, naandika kwa akili yangu yanatoka Moyoni Mwangu , wala sio ya kushikiwa, Nina Maumivu yangu Moyoni Lakini nina akili zangu timamu, this is My life this is My Page , My life My rules , I can do anything i want with My life, ....niacheni" Divathebawse :

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top