PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MWILI WA MAREHEMU JOHN WALKER WAAGWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge  wa Jimbo la Mbeya  Mjini  Mh. Joseph Mbilinyi, (kulia) akiwa amebeba jeneza la  marehemu  Michael  Dennis Mhina ...



Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi, (kulia) akiwa amebeba jeneza la marehemu Michael Dennis Mhina 'John Walker'  Dar es Salaam wakati wa ibada iliyofanyika katika Kanisa la Muhimbili. (Picha na Francis Dande)
 Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi, (kulia) akiwa amebeba jeneza la marehemu Michael Dennis Mhina 'John Walker'  Dar es Salaam wakati wa ibada iliyofanyika katika Kanisa la Muhimbili.
  Baadhi ya waombelezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa msanii wa muziki wa kizazi kipya marehemu, Michael Dennis Mhina 'John Walker' kwa ya kuusafirisha kwa maziko mkoani Tanga, Dar es Salaam.
 Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Michael Dennis Mhina 'John Walker'.
 Wasanii wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa msanii wa Bongo Fleva marehemu John Walker.
Wengi waishindwa kujizuia wakati wa kutoa heshima za mwisho.
Heshima za mwisho.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top