PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Dangote Yaanza Kusambaza Cement Tanzania...Bei ya Mfuko Mmoja wa Cement Hii Hapa...
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kile kiwanda kikubwa cha Africa mashariki na Africa kwa ujumla kwa mara ya kwanza kimeanza kuzalisha kusambaza cement  tar...


Kile kiwanda kikubwa cha Africa mashariki na Africa kwa ujumla kwa mara ya kwanza kimeanza kuzalisha kusambaza cement  tar 21/02/ 2016.

Kiwanda hicho ambacho ni tegemeo jipya kwa waakazi wa mikoa kusini Mtwara na Lindi kiliahidi ajira nyingi ya wakaanzi wa mikoa hiyo na watanzania kwa ujumla
Cement tayari iko maduka kwa bei nafuu ya sh 13,500 tofauti na cement ya viwanda vingine.

Tunawakaribisha wateja wa cement hiyo na wenye magari makubwa kufungua office mkoani Mtwara ili kuongeza ajira za madereva hapa mkoani.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top