msanii wa filamu za Bongo Aunty Ezekiel maarufu kwa jina la mama Cookie siku hizi, ameonekana akiwa mbali na mwandani wake Moze Iyobo, na kuibua hisia kuwa huenda wawili hao wamemwagana siku …
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 29 2016 kwenye, hardnews na michezo
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
February 28 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili…
Nyota ya Mbwana Samatta Yaanza Kung'aaa Ubelgiji Aipatia Timu yake Goli la Ushindi
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Nyota ya Samatta imeanza kuonekana Baada ya jana kuipatia timu yake ya Genk bao lililowapa ushindi dhidi ya timu ya Brugge, Akiingia kutoka Benchi Dakika ya 77 wakati matokeo yakiwa mbili kwa mbi…
ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA – MTWARA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na walimu na wakufunzi wa Chuo cha Elimu cha Mtwara baada ya kuzungumza nao chuoni hapo , Februari 27, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimian…
WAZIRI NAPE ATAKA MAGAZETI YA SERIKALI YAMSAIDIE RAIS MAGUFULI KUTUMBUA MAJIPU
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametaka magazeti ya Serikali kumsaidia Rais John Magufuli, kutumbua majipu kwa kuibua uozo serikalini. Akizungumza katika kikao cha wafa…
VIDEO YA SHIKA ADABU YAKO YAZIDI KUTAZAMWA NA WABONGO WALIOKUWA WAKIISUBIRI KWA HAMU
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
wimbo huu uliotikisa nchini kwa kuwashikisha watu adabu umetizamwa na watu zaidi ya elfu 30 …
MMILIKI WA MABASI YA NGORIKA AFARIKI DUNIA..AGONGWA NA GARI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Ngorika Bus service, yenye makao yake makuu Kisangara mkoani Kilimanjaro, bw. STEPHEN Mberesero amefariki dunia mjini hapa baa…
Ester Bulaya Atamba 'Nitaendelea Kumgaragaza Wasira Ubunge wangu si Wakuchakachua'
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge wa Bunda Mjini, mkoani Mara, Esther Bulaya (Chadema), ametamba kuwa ataendelea kumshinda mpinzani wake kisiasa, Stephen Wasira (CCM), kwa madai kwamba alipata ubunge huo kihalali. Bulaya al…
BIASHARA IKUPASAYO KUFANYA NI IPI?
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
wanahabari wanaosoma AJTC wakimsikiliza kwa makini mkurugenzi wa mafunzo chuoni hapo bwana Joseph Mayagila juu ya somo la ujasiriamali katika moja ya semina zilizofanyika chuoni hapo hivi karibuni …