PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: KWELI NDOA ZA WATU MAARUFU HAZIDUMU, MASTAA AUNTY EZEKIEL NA MOZE IYOBO WAPIGANA KIBUTI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
     msanii wa filamu za Bongo Aunty Ezekiel maarufu kwa jina la mama Cookie siku hizi, ameonekana akiwa mbali na mw...

 




msanii wa filamu za Bongo Aunty Ezekiel maarufu kwa jina la mama Cookie siku hizi, ameonekana akiwa mbali na mwandani wake Moze Iyobo, na kuibua hisia kuwa huenda wawili hao wamemwagana siku ya valentine

Tukio hilo limetokea kwenye sherehe za uzinduzi wa albam ya msanii Mirror ambaye yuko chini ya mwanadada Wema Sepetu, usiku wa siku ya wapendanao (valentine) na kuwafanya watu wengi wawashangae, ndipo camera za EATV zilipowanasa baba na mama Cookie wakiwa mbali mbali, kama hawajuani.
Wakiwa ukumbini hapo Aunty Ezekiel (mama Cookie) alionekana akiwa close na Idris Sultan ambaye shemeji yake kwa shoga yake kipenzi Wema Sepetu, huku Moze Iyobo (baba Cookie ) akionekana akiwa na marafiki zake, ilihali siku hiyo ilikuwa maalum kwa wapendanao.
Zicheki picha hapa chini za tukio zima lilivyoenda.



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top