Watu hawana haya – Kwa mujibu wa Zari the Bosslady, baadhi yao wamekuwa
wakimporomoshea matusi mtoto wake aliyezaa na Diamond, Tiffah tangu
alipozaliwa.
Lakini Zari ana habari kwa haters! Mrembo huyo wa Uganda anaamini kuwa siku moja watamheshimu mtoto wake sababu anamlea aje kuwa rais kama Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia!
“Matusi from day one even before she was born,” ameandika Zari kwenye Instagram.
“But she is here and strong enough to handle. Boss ladies use bricks thrown at them to build empires. And this right here is my future president in the making #IronLady #EllenJohnsonSirleaf #Kichuna @princess_tiffah.”

Post a Comment