PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MKURUGENZI MKUU VIWANJA VYA NDEGE TAA SULEIMAN SAID AFARIKI DUNIA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania ( TAA ), Mhandisi Suleima...


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said amefariki dunia mapema leo asubuhi akiwa katika mazoezi ya kuogelea,taarifa zinaeleza kuwa baada ya tukio hilo Bwa.Suleiman alikimbizwa hospitali ya Agakhan kwa matibabu,na baadae ikaelezwa kuwa amekwishafariki na kuwa mazishi yanatarajiwa kufanyika leo. 
 
Marehemu alipata kuwa Katibu mkuu wa Simba alikopewa jina la Yelstin.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top