![]() |
| imeelezwa kuwa hali si shwari hivi sasa katika eneo la bonde la mkwajuni kinondoni jijini daresalam kufuatia akazi wa maeneo hayo kuchoma matairi moto pande zote za barabara na kusababisha magari kushindwa kupita. jeshi la polisi kinondoni wapo eneo la tukio hivi sasa kukabiliana na hali hiyo ili kurejesha usalama wa eneo husika kwa taarifa zaidi tutaendelea kukujuzeni nini kinachoendelea eneo la tukio |
![]() |
| wakazi wa eneo husikia wakishuhudia uharibifu huo uliofanywa na wananchi wa eneo hilo la bonde la mkwajuni kinondoni jijini Daresalaam hivi sasa |


Post a Comment