Mwenyekiti
wa Bodi ya Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi nchini(PSPTB)Dk Hellen
Bandiho akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Wataalamu
unaofanyika kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa AICC jijini Arusha
na kusisitiza miiko ya uadilifu katika manunuzi ya umma na sekta
binafsi.
|
Mjumbe
wa Bodi ya Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi nchini(PSPTB)Ahmed Kilima
akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Wataalamu
unaofanyika kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa AICC jijini
Arusha.
|
Mkurugenzi
Mtendaji wa Bodi ya Wataalamu wa Manunuzi nchini(PSPTB)Dk Clemence
Tesha akizungumza jambo na wajumbe wa mkutano wa mwaka wa Wataalamu wa
taaluma ya Manunuzi na Ugavi unaofanyika kwenye ukumbi wa mikutano ya
kimataifa wa AICC jijini Arusha na kuhudhuriwa na wajumbe kutoka mikoa
mbalimbali nchini na wageni kutoka nchi jirani.
|
Wajumbe wakiwa kwenye ukumbi wa Simba
|
Wajumbe wa mkutano ambao ni wana taaluma ya Manunuzi na Ugavi wakifatilia mada kwenye mkutano huo leo.
|
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Manunuzi na Ugavi wakifatilia mada kwenye mkutano huo leo.
|
Wajumbe wa mkutano wa mwaka wa PSPTB
|
Mgeni
rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB,Dk Charles
Kimei(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na wataalamu wa fani
Manunuzi na Ugavi nchini baada ya kufungua mkutano wa mwaka ambao
amesisitiza umuhimu wa kufanya manunuzi sahihi yenye lengo la kuokoa
fedha za umma.
|
Post a Comment