Wafanyakazi
wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha
waliofanyakazi wa miaka 10 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti
vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa
waandamizi wa TBL
|
Wafanyakazi
wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha
waliofanyakazi wa miaka 15 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti
vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa
waandamizi wa TBL
|
Wafanyakazi
wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha
waliofanyakazi wa miaka 20 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti
vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa
waandamizi wa TBL
|
Wafanyakazi
wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha
waliofanyakazi wa miaka 25 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti
vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa
waandamizi wa TBL
|
Wafanyakazi
wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha
waliofanyakazi wa miaka 30 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti
vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa
waandamizi wa TBL
|
Wafanyakazi
wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha
waliofanyakazi kwa kipindi cha miaka 10 hadi 30 wakikata keki wakati wa
hafla ya kwapongeza ilifanyika kwenye kiwanda maeneo ya Themi jijini
Arusha.
|
Maafisa
waandamizi wa TBL wakifurahia jambo na mmoja wa wafanyakazi wa muda
mrefu mara baada ya kumkabidhi cheti na hundi huku akimskiliza kwa
karibu Corperate Affairs Director wa TBL,Geogia Mutagahywa,kushoto ni
Afisa Mwajiri ,Kissa Mwasomola.
|
Wafanyakazi wakijumuika kwenye hafla hiyo
|
Wana TBL mkoa wa Arusha wakifurahia jambo
|
Wakifatilia kwa makini
|
Meneja Ufundi wa Kiwanda cha TBL mkoa wa Arusha ,Salvatory Rweyemamu(katikati)akifurahi jambo na wafanyakazi wenzake.
|
Mmoja
wa wafanyakazi waliofanyakazi TBL kwa kipindi cha miaka 30 akifanyiwa
mahojiano na waandishi wa habari na kusema amekua mtu mwenye furaha
kufanya kazi katika kampuni hiyo.
|
Post a Comment