Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisaini Kitabu cha Maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa
Simiyu, Marehemu, Pascal Mabiti, wakati wa shughuli ya Msiba
iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Upanga jijini Dar es Salaam, leo
Okt. 15, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwafariji wanafamilia wa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Marehemu Pascal
Mabiti, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu iliyofanyika
nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam, leo Okt. 15, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa Mkuu wa Mkoa wa
Simiyu marehemu, Pascal Mabiti, wakati wa shughuli za kuaga
zilizofanyika nyumbani kwa marehemu, Upanga jijini Dar es Salaam, leo
Okt. 15, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye
mwili wa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu marehemu, Pascal Mabiti, wakati wa
shughuli za kuaga zilizofanyika nyumbani kwa marehemu, Upanga jijini Dar
es Salaam, leo Okt. 15, 2015. Picha na OMR
Post a Comment