PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA MCHEZO WA MPIRA WA KIKAPU SOWETO JIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wachezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Soweto ya jijin Arusha wakiwa katika mazoezi kwa ajili ya kujiweka fiti katika mashind...




Wachezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Soweto ya jijin Arusha wakiwa katika mazoezi kwa ajili ya kujiweka fiti katika mashindano ya Kilimanjaro Cup yanayoendelea jijini hapa, timu zinazoshiriki ni JKT ya Dar es Salaam, Soweto, Njiro na Spiders zote za Arusha. Picha na Yohana Challe.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top