PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA :KINAMAMA WAKIMLAKI MKE WA MGOMBEA URAISI KUPITIA UKAWA MAMA REGINA LOWASA JIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kinamama wa Jiji la Arusha wakinyoosha mkono ishara ya kumuunga mkono Mke wa Ugombea Uraisi kupitia Ukawa Mama Regina Lowassa alikutana ...
Kinamama wa Jiji la Arusha wakinyoosha mkono ishara ya kumuunga mkono Mke wa Ugombea Uraisi kupitia Ukawa Mama Regina Lowassa alikutana na kinamama katika viwanja vya Botanic Garden vilivyoko Jijijini Arusha jana.Picha na Ferdinand Shayo



Viongozi wa Baraza la Wanawake CHADEMA wakimlaki Mke wa Ugombea Uraisi kupitia Ukawa Mama Regina Lowassa alipowasili jana alikutana na kinamama katika viwanja vya Botanic Garden vilivyoko Jijijini Arusha jana.Picha na Ferdinand Shayo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top