Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini
kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina Kombani
kilichotoke Nchini India juzi, wakati Makamu wa Rais alipokwenda
nyumbani kwa marehemu Mikocheni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifariji
watoto wa Familia ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma Marehemu Celina Kombani wakati alipofika nyumbani
marehemu Mikocheni Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza
na Mume wa Marehemu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma Mhe. Celina Kombani, alipokwenda nyumbani kwa marehemu
Mikocheni Dar es salaam leo Sept 27,2015 kwa ajili ya kusaini kitabu cha
kumbukumbu ya maombolezo na kuifariji familia ya marehemu.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifariji watoto wa Familia ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma Marehemu Celina Kombani wakati alipofika
nyumbani marehemu Mikocheni Dar es salaam.
Post a Comment