PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Nape azungumzia sababu za kuchelewa kwa Vikao vya CCM, Mjini Dodoma
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa White House, Mjini Dodoma ...

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa White House, Mjini Dodoma leo Julai 10, 2015, wakati akitoa taarifa juu ya kuchelewa kwa vikao vya CCM ambavyo vilikuwa vianze Julai 8. Nape amesema kuwa vikao hivyo vitakuwa vikianzia saa 4 asubuhi hii, ambapo tano bora na tatu bora ya Wagombea itafahamika leo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top