Mbunge
wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu na aliyepata kuwa kada wa Chama cha
Mapinduzi, Edward Lowassa atangaza rasmi kukihama Chama Cha Mapibnduzi
(CCM) na kujiunga na Chama Kikuu cha Upinzani nchini chama cha Chadema hii leo.
Lowassa ametangaza rasmi hii leo na kueleza namna mchakato mzima wa kumpata mgombea wa CCM ulivyo kuwa wa chuki na mizengwe ya dhidi yake na kusema hanaimani tena chama hicho
Lowassa
na mkewe wamekabidhiwa kadi zao za uanachama hii leo mbele ya viongozi
wa vyama vya upinzani vya CUF,NLD na NCCR Mageuzi vinavyounda na matangazo hayo
yamaoneshwa moja kwa moja na Azam TV pamoja na ITV na televisheni kadhaa nchini
Post a Comment