PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA-MKUU WA KITENGO CHA MASOKO CHA TAASISI YA UTOAJI MIKOPO YA (UTT Microfinance Institution – UTT MFI) ,MARY KIPEJA AKIWAELEZA WANACHAMA WA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT) JUU YA FURSA ZA MIKOPO ZINAZOPATIKANA KATIKA TAASISI HIYO.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa Kitengo cha Masoko cha Mfuko wa cha Taasisi ya  utoaji mikopo  (UTT Microfinance Institution – UTT MFI)  ,Mary Kipeja akiwaeleza ...
Mkuu wa Kitengo cha Masoko cha Mfuko wa cha Taasisi ya  utoaji mikopo  (UTT Microfinance Institution – UTT MFI)  ,Mary Kipeja akiwaeleza Wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) fursa za upatikanaji wa mikopo zilizoko katika taasisi hiyo  jijini Arusha jana katika Mkutano mkuu wa chama hicho.Picha na Ferdinand Shayo

Mmoja wa MAAFISA Masoko cha Mfuko wa Taasisi ya  utoaji mikopo  (UTT Microfinance Institution – UTT MFI) akiwaeleza Wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) fursa za upatikanaji wa mikopo zilizoko katika taasisi hiyo  jijini Arusha jana katika Mkutano mkuu wa chama hicho.Picha na Ferdinand Shayo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top