Mbunge wa Arusha Mjini, Mh Godbless Lema wa pili toka kulia kupitia Arusha Development Fund (ArDF) amesaini makubaliano na wafadhili kufanikisha ujenzi wa hospitali ya Mama na Mtoto Jijini Arusha wenye thamani ya US$ Mil 3.2 Makabidhiano hayo yamefanyika eneo la Burka katika kiwanja ambacho Lema alikabidhiwa na Mawalla Advoctes mapema leo asubuhi |
Baadhi ya wafadhili na mawakili wa mawala waliohudhuria tukio hilo |
akiyekaa ni meya wa jiji la Arusha Gaudensi Limo akitafakari jambo katika tukio la utiaji saini wa ujenzi wa hiospitali hiyo |
Post a Comment