PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MBOWE AITOA KASORO SERIKALI JUU YA UTARATIBU WA DAFTARI LA WAPIGA KURA......
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwasili katika Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hote...

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwasili katika Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha,kushoto ni Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa Karatu Mchungaji Israel Natse.Picha na Ferdinand Shayo

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiwa katika  Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha kushoto ni Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa Karatu Mchungaji Israel Natse,Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salimu Mwalimu Salimu (wapili kulia)na Katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani Golugwa. .Picha na Ferdinand Shayo
  
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akihutubia  Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha.Picha na Ferdinand Shayo.
 
Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini wakifuatilia kwa makini Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha.Picha na Ferdinand Shayo.

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akifafanua jambo juu ya daftari la kudumu la wapiga kura katika Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha hivi karibuni

About Author

Advertisement

Post a Comment

Top