PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA-MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI AKIKABIDHI MIFUKO YA SARUJI KUCHANGIA UKARABATI WA MAJENGO YA SHULE YA KULALA ILIYOKO WILAYA YA ARUMERU.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge wa Arumeru mashariki Joshua Nassari akifanyiwa maombi na wakazi wa jimbo lake mara baada ya kutoa msaada wa mifuko ya cement kwa aj...
Mbunge wa Arumeru mashariki Joshua Nassari akifanyiwa maombi na wakazi wa jimbo lake mara baada ya kutoa msaada wa mifuko ya cement kwa ajili ya ujenzi wa madarasa katika shule tatu tofauti wilayani Arumeru

Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akisomewa kitabu cha Hadithi na Mwanafunzi wa shule ya Msingi Sura iliyopo wilaya ya Arumeru jana alipofika kutoa mchango wa mifuko 50 ya saruji katika kusaidia ukarabati wa shule hiyo.Jumla ya shule tatu za msingi Sura,Kulala na Ulonga zilikabdidhiwa mifuko 150 ya Saruji.Picha na Ferdinand Shayo.

Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua akijadiliana jambo na Viongozi wa Kamati ya Shule ya msingi Kulala mara baada ya kukabidhi mifuko 50 ya saruji ikiwa ni mchango wa Mbunge huyo katika kusaidia ukarabati wa shule hiyo.Jumla ya shule tatu za msingi Sura,Kulala na Ulonga zilikabdidhiwa mifuko 150 ya Saruji.Picha na Ferdinand Shayo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

Top