Tarehe 24/02/2015 katika Mahakama ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma, mtu mmoja anayefahamika kwa jina la YUSUPH CHATAMBALA, umri miaka 45, kabila Mchaga, Mkulima na mkazi wa Kijiji cha MAKUTUPA Kat…
WATU 3 WATEKETEA KWA MOTO BAADA YA LORI LA MAFUTA KUPINDUKA NA KUWAKA MOTO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Watu watatu wamefariki dunia kwa kuungua moto hadi kuteketea kabisa akiwemo dereva na utingo wake baada ya lori la mafuta kuacha njia na kupinduka na kuungua moto katika eneo la Maseyu barabara ya Mo…
WAAADISHI WA HABARI JIJINI ARUSHA WATOA MSAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waandishi wa Habari wa Arusha wakitoa Zawadi zao za “Valentine’s day” kwa watoto wa kituo cha Huruma Children’s Trust Kwa Morombo, Jijini Arusha, kama ishara ya Upendo na Kuwajali watoto yatima kati…
MAKALA YA UCHUMI UNASTAHILI KUFANIKIWA MAISHANI MWAKO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na Ferdinand Shayo,Arusha. Kuna watu wanafikiri kuwa mafanikio ni kwa ajili ya watu Fulani,kikundi cha watu Fulani ,mtu Fulani lakini siyo yeye na hicho kimekua kikwazo cha mafanikio kwa watu wengi w…
LUKUVI NA UJUMBE WAKE WAPO ZIARANI NCHINI SINGAPORE KUJIFUNZA MAKAZI BORA YA WANANCHI WA KIPATO CHA CHINI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Ujumbe wa Tanzania chini ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ukionyesha namna Serikali ya Singapore inavyoratibu upatikanaji wa nyumba kwa wananchi wake ulipotembelea Bodi y…
HABARI PICHA: YAMOTO BAND WAKWEA PIPA KUELEKEA UINGEREZA KUPIGA SHOW
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Vijana wa YAMOTO BAND wameondoka usiku huu kuelekea UK katika show ambayo itafanyika tarehe 21 mwenzi huu katika ukumbi wa Royal Regency, Hizi ni picha wakati vija hao wakiondoka. …