PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Hii ni hatari..BASI LA KILIMANJARO LAKAMATWA LIKITUMIKA KUSAFIRISHIA SHEHENA YA MILIPUKO AINA YA EXPLOGEL V6...Tazama hapa...
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kwa Taarifa ambazo Bado Hazijathibitishwa Rasmi zinasema kwamba kuna Shehena kubwa ya Milipuko ya hatari inayotumika kutengenezea M...





Kwa Taarifa ambazo Bado Hazijathibitishwa Rasmi zinasema kwamba kuna Shehena kubwa ya Milipuko ya hatari inayotumika kutengenezea Mabomu ya Kuvulia samaki kwa kuwa inaweza ikahimili hata ndani ya maji na Kwa ajili ya Kutengenezea Milipuko ya kupasulia Miamba Migumu Imekamatwa Eneo la Korogwe Mchana Huu Wakati wa Jeshi la Polisi walipokamata Basi la KLM EXP lenye usajili wa namba T491 ARB kwa ajili ya Ukaguzi. Milipuko hiyo ambayo imesafirishwa kwa njia ambayo sio sahihi kutokana na hatari yake ya kuwa kulikuwa na abiria na kama Basi Lingetingishika zaidi Ingeweza Kulipuka .
 

Basi Hilo baada ya Kukamatwa Milipuko hiyo baada ya kukamatwa mchana huu Askari wa Jeshi la Polisi Katika Kituo cha Korogwe akikagua Milipuko hiyo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top