Afisa wa mauzo wa
Duka la Simu la Bei nzuri la jijini Arusha,Martha Meena akitoa maelezo kwa wateja waliofika katika
banda la duka hilo wakati wa gulio la
punguzo kubwa la bei za simu za mkononi lijulikanalo kama Vodacom Expo linalofanyika
katika uwanja wa Sheakh Amri Abeid jijini Arusha. |
Kikundi cha sanaa kikionesha umahiri katika uchezaji wa sarakasi. |
Wateja wakitizama bidhaa mbalimbali zilizokuwa zikiuzwa kwa punguzo kubwa la Bei. |
Mmoja wa vijana wa kikundi cha sanaa akionesha umahiri wake wa kuchezeza na Rola mbele ya wakazi wa jiji la Arusha(hawapo pichani) wakati wa gulio la simu zilizotolewa kwa punuzo kubwa la bei lililofanyika katika uwanja wa Sheaik Amri Abeid kwa siku mbili. |
Afisa Mauzo wa VODASHOP Arusha ,Janeth Jonathan akizungumza na mmoja wa ateja waliofika katika gulio la punguzo za simu lililofanyika katika uwanja wa Sheaikh Amri Abeid jijini Arusha. |
Afisa huduma kwa
wateja wa Vodashop jijini Arusha,Samya Ulimwengu akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika
katika banda la Vodashop tawi la
Sokoine Arusha kujipatia huduma ya simu ambazo
zinapatikana katika Gulio la
Simu za mkononi kwa punguzo kubwa la bei linalofanyika katika uwanja wa Sheakh Ami Abeid jijini Arusha. |
Burudani pia ilikuwepo uwanjani hapo. |
Bidhaa za Sumsung hususan Simu za mkononi zilipatikana katika mabanda haya |
Mamia ya wakazi wa jiji la Arusha wakiwa nje ya mabanda wakingojea kupatiwa huduma ya simu ambazo zimeuzwa katika Gulio la simu za mkononi kwa punguzo kubwa la bei lililofanyika kwa siku mbili katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. |
Baadhi ya wakazi
wa jiji la Arusha waliofika katika mabanda ya
Vodacom yaliyokuwa katika uwanja wa
Sheaik Amri Abeid kwa ajili ya kupata huduma za simu za mkononi zilizokuwa zikipatikana
uwanjani hapo kwa punguzi kubwa la bei. |
Baadhi ya wakazi wa
jiji la Arusha waliofoka katika mabanda maalumu ya kuuzia Simu za
Sumsung yaliyokuwa katika uwanja wa
Sheaik Amri Abeid kwa ajili ya kupata huduma za simu za mkononi zilizokuwa zikipatikana uwanjani hapo kwa punguzi kubwa la bei |
Post a Comment