Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya
litakapojengwa pembezoni mwa daraja la Selander kuanzia hospitali ya
Aghakan hadi barabara Kenyata. Sehemu ya Daraja hilo pekee litakuwa na
urefu wa km 1.03
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka
Serikali ya Korea Kusini pamoja na Wizara ya Ujenzi mara baada ya
kusaini Mkataba wa Muhtasari wa Majadiliano leo jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile kulia akimshukuru
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli mara baada ya hafla ya utiaji sahihi
wa Muhtasari wa Majadiliano.
Tukio la utiaji sahihi likiendelea kama inavyoonekana pichani.
Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Barabara Eng. Patrick Mfugale akionesha mchoro wa
nguzo kubwa za daraja hilo litakalopita baharini pembezoni mwa daraja la
Selander huku Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli pamoja na Katibu Mkuu
wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe wakifatilia kwa makini.
Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akifafanua kuhusu ujenzi wa daraja hilo.
Picha kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano Serikalini (GCU) Wizara ya
Ujenzi
Post a Comment