PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MAWAKILI WA KAMPUNI YA UWEKEZAJI ENGINEERING AND MARKETING LIMITED WATEMBELEA NGORONGORO NA SERENGETI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Simba akiwa amelala katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Mawakili wa Kampuni ya Uwekezaji ya VIP Engineering and Marketing Limited kuto...



Simba akiwa amelala katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.



Mawakili wa Kampuni ya Uwekezaji ya VIP Engineering and Marketing Limited kutoka Marekani na Uholanzi wakijiandaa na safari ya kwenda hifadhini.



Mkurugenzi wa kampuni ya VIP Bernadicta Rugemalira
(kulia), akipata chakula na mawakili hao.








Tembo akikatisha barabara katika Hifadhi ya Taifa Serengeti
 Simba akiwa na mtoto wake katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.


Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya VIP, James Rugemalira (kushoto), akiwa na mmoja wa maofisa wa kampuni hiyo, Joe Mgaya.

Watalii kutoka nchi mbalimbali wakiwa kwenye geti la kuingia Hifadhi ya Ngorongoro kabla ya kuruhusiwa kuingia hifadhini.



Mawakili hao wakiwa katika picha ya pamoja na
wenyeji wao.


Mkurugenzi wa kampuni ya VIP Bernadicta Rugemalira
(wa pili kushoto) akifurahia jambo pamoja na
wageni wake


Nyati wakiwa kando ya mto uliopo jirani na Hoteli ya Kitalii ya Sopa katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

 Mwandishi wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, jijini Arusha, Jamila Omary aliyekuwepo kwenye msafara huo ni kama anasema ' hawa inzi aina ya mbung'o binafsi wananikera humu mbugani'

Wanahabari waliongoza na mawakili hao. Kutoka kulia ni Faustine Kapama wa Daily News, Jamila Omary wa Channel Ten, Arusha, Dotto Mwaibale, Jambo Leo na Dotto wa Arusha.


Mmoja wa maofisa wa kampuni ya VIP, Joe Mgaya akichukua matukio. Kulia ni mtoto wa wakili kutoka Uholanzi, Philip Camilo.




Mmoja wa maofisa wa kampuni ya VIP, Resipius Didace akiwa akitafakari jambo kuhusu safari hiyo.






Pundamilia wakivinjari katika hifadhi hiyo.

Fisi akinyonyesha watoto wake.



Msafara huo ukiwa umesimama kwa muda ndani ya
hifadhi ya Serengeti kabla ya kuendelea na safari.



MAWAKILI WA KAMPUNI YA UWEKEZAJI WA VIP ENGINEERING AND MARKETING LIMITED WATEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA ZA SERENGETI NA NGORONGORO
Watalii wakimpiga picha simba katika hifadhi ya Serengeti.

Simba jike akiwa amelala na mtoto wake katika Hifadhi
ya Taifa ya Serengeti.



Na huyu naye alinaswa akiwa amepozi juu ya mti
katika hifadhi hiyo



Twiga wakivinjari kwa maringo katika hifadhi hiyo.

Tembo wakiwa katika hifadhi hiyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top