Kikosi cha kwanza cha Simba kilicho anza hii leo taifa dhidi ya Gor Mahia ya Kenya.
Mabao
ya Simba yamewekwa kimiani na nyota huyo aliyesajiliwa kutoka Gor mahia
ya Kenya, Raphael Kiongera alkiingia kipindi cha pili akitokea benchi
na bao moja kuwekwa wavuni na Ramadhan Singano 'Messi'.
Simba
imetoa kichapo hicho ikiongozwa na kocha wake wa mara ya tatu, Mzambia
Patrick Phiri ambaye alikishusha kikosi hicho uwanja wa taifa jiji Dar
es Salaam ikiwa ni takriban mwezi na siku kadhaa tangu ilipo pata
kichapo cha goli 3-1 na kupelekea kutimuliwa kwa kocha Zdravko Logarusic
kutoka kwa Zesco United.
Kiongera alipachika goli dakika ya 55 wakati goli la pili likifungwa dakika ya 74 na Messi na Kiongera tena kufunga hesabu katika dakika ya 78.
SIMBA ILIWAKILISHWA NA Ivo Mapunda, Miraj Adam, Abdi Banda, Hassan Isihaka, Owino Joseph, Willium Lucian, Awadh Juma, Shaban Kisiga,Elias Maguri, Emanuel Okwi na Ramadhani Singano.
Benchi la akiba walikuwepo Hussein Sharif, Manyika Petter,Mohamed Hussein, Nassoro Masoud, Abdalah Omar, Ibrahim Twaha, Uhuru Seleiman, Abdul Makame na Raphael Kiongera.
Benchi la ufundi alikuwepo: Kocha MkuuPatrick Phiri, kocha Msaidizi, Seleman Matola, Meneja wa Timu, Nico Nyagawa, daktari, Yasin Gembe, Kocha wa Makipa Idd Pazi 'Father' na mtunza vifaa Ngade Ngalembe

Post a Comment