PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: SEEDCO YAZINDUA MASHINDANO YA MASHAMBA DARASA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 Meneja Masoko wa Kampuni ya Mbegu ya Seed Co,Frank Wenga(kulia)akizungumza na waandishi wa habari jana,jijini Arusha juu shindano la wa...
 Meneja Masoko wa Kampuni ya Mbegu ya Seed Co,Frank Wenga(kulia)akizungumza na waandishi wa habari jana,jijini Arusha juu shindano la wanafunzi wa Shule za msingi, Kanda ya Ziwa litakalowezesha shule itakayoshinda kupata madawati 100 yenye thamani ya Sh.15 milioni,kushoto ni Meneja Mauzo ,Daniel Mwambugi.Picha na Ferdinand Shayo
 Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mbegu ya Seed Co yenye makao yake jijini Arusha,Daniel Mwambugi(kushoto) na Meneja Masoko,Frank Wenga wakionesha fomu itakayotumiwa na wanafunzi wa Shule za msingi, Kanda ya Ziwa kujaza kwa ajili ya kushiriki shindano la kuandaa shamba la mahindi litakalowezesha shule itakayoshinda kupata madawati 100 yenye thamani ya Sh.15 milioni.Picha na Ferdinand Shayo
















About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top